Selfika na JF: Snap it. Show it

RRONDO si alishakuambia tutakuchapa kukiita "hostel" kijiwe chetu pendwa wana roadtrip [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mumshauri huyo boss wa hiyo sehemu abadilishe muonekano bhana, japo wengi wanapasifia hapo had wanachuo waliowahi kuenjoy hapo.

Mtu anayeijua magu hostel akiona hapa, atadhan ndo hiyo pia.
 
Dah! sema dom pamewaka sana.. plus vijana waliokuja piga interview ya takukuru pamewaka kishenziii.. hapapoi wala hapaboi.. Ni shangwe nimeweka 50/50.. asipo. tokea nitajua umenichania mkeka [emoji23][emoji23][emoji23]
Kati ya hao interviewees Kuna my nephew, Kuna ka rafiki kangu ka faida kadada flani kabichii. Please tulia
 
Hata usi panic mkuu Shimba Ya Buyenze. Mimi nimeugua dalili zote na bado nimevuka salama.
Mafua makali na mazito, kifua kubana mpaka kukoroma wakati sinaga tabia ya kukoroma n.k

Kula machungwa kila siku, tangawizi (ya kutafunwa na chai), vegetables. Kiufupi piga mlo fresh mwili upate nguvu. Endelea kufanya mazoezi ya mwili kufungua kifua.

Pata dawa ya Covidol mkuu usiidharau maana Ile ni mchanganyiko wa majani na miti asili inayofungua kifua, kutuliza homa n.k hapa ni 15,000/- nadhani ni Bei ya nchi nzima. Kunywa maji ya kutosha. Maisha yaendelee kama kawaida, usilale lale Wala kuwaza about COVID-19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…