Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kama mimi maana siulewi mbele , ila wakongo wanaimba jamani .Mi naupenda tu kule mwanzo.
Kama mimi maana siulewi mbele , ila wakongo wanaimba jamani .Mi naupenda tu kule mwanzo.
Kweli kabisa .Eeh ni sebene amazing sana
time to pray... fellowship na Holy One.. to abide..... sweet Jesus... Elohim..
Huyu kijana selfika tu hata ukiwa unasoma Bible, utamtia nguvu sana ya kusonga 2022Namuwazia mema ma mtumishi kijana ana malengo yake huyo , atulie afike akiwa mwenye nguvu Ndokwanzaaa january!!
Miss u more...Mekumiss ujue

@Mahondaw ni mtiifu, ataselfika sasa hiviNimekesha hapa hajui tu![]()
Hapa penyewe nilipo naomba au nikutumie voice note 😬😬😬.. mda wote naomba aseeUkaombe kijana mwema, tutakujoin saa 7
Hapa penyewe nilipo naomba au nikutumie voice note.. mda wote naomba asee
Kama umebariki wewe nakataaje ma mtumishi@Mahondaw ni mtiifu, ataselfika sasa hivi


!! Anyways ngoja nitoe update ya ileeee mishono!!Kikiisha tu kipande cha huyu Mungu ni Baba nabadili,nawaweka wale watoto wa Tafes ARU "Ayeee simuachi Yesu"Kama mimi maana siulewi mbele , ila wakongo wanaimba jamani .
Kama umebariki wewe nakataaje ma mtumishi!! Anyways ngoja nitoe update ya ileeee mishono!!
Kabla hamjaomba ( God knows).. level ya kwanza ya maombi ni wazo.. kadri unavyo process wazo lako ni maombi tayari alafu kuna ile una energize spirit ndio tunaingia in speaking in languages..Nakuelewa mtu wa rohoni. Unanikumbuaha rafiki angu mmoja, yeye utamuona tu anatingisha kichwa, ujue kumekucha
Kuna mmoja huu unaitwa Amina ameimba prophéte Joel .
Yaani, bora asingeomba radhi."Nimekosa mimi,nimekosa sana,nimekosa mimi"
Yaani, bora asingeomba radhi.
Kikiisha tu kipande cha huyu Mungu ni Baba nabadili,nawaweka wale watoto wa Tafes ARU "Ayeee simuachi Yesu"
Kiisha kipande hicho naweka" kidoe"
Nashushia john Lisu "upendo"
Namalizia "yesu ni wimbo wangu " DE Gloire.
Hapo tayari nakuwa nishasweat kwa step...napumzika.
Mungu ana nyimbo nyingi jamani.
Preach MOGKabla hamjaomba ( God knows).. level ya kwanza ya maombi ni wazo.. kadri unavyo process wazo lako ni maombi tayari alafu kuna ile una energize spirit ndio tunaingia in speaking in languages..
Hata Fanda na yo wanaongea kifaransa mbeleKikiisha tu kipande cha huyu Mungu ni Baba nabadili,nawaweka wale watoto wa Tafes ARU "Ayeee simuachi Yesu"
Kiisha kipande hicho naweka" kidoe"
Nashushia john Lisu "upendo"
Namalizia "yesu ni wimbo wangu " DE Gloire.
Hapo tayari nakuwa nishasweat kwa step...napumzika.
Mungu ana nyimbo nyingi jamani.