Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa! Naona unazidi kujiamini...kwanza nani kakufundisha mambo ya mpira!
Niache kwanza kidogo leo nawanyoosha hawa nyumbu wa kujiita man u
Niliwaambia tangu mapema kuwa hawatoshinda ila walinibeza.
Jana wameisoma namba mubashara kabisa.
.................
Sasa mimi movie siangalii,pombe sinywi..purukushani nyingine sina...si bora niendelee kujifunza mpira.

Kaka zangu walinifundisha mpira na mahiphop.
 
Ni wateule pekee watoto wa kiumeni ndio huwa tunaifunga wolves...

Nyumbu fc mlidhani mchezo kucheza na wolves eeeh????!!!!

Hebu kujeni hapa,matokeo yenu tunayoView attachment 2067555
Kudadek hao madogo wametuotea tu saiv tupo kwenye major transformation..wew na livakuku yako mwaka huu mpaka ikutoe damu ndio utajua huna timu bali ni kikundi Cha vikoba
 
Kudadek hao madogo wametuotea tu saiv tupo kwenye major transformation..wew na livakuku yako mwaka huu mpaka ikutoe damu ndio utajua huna timu bali ni kikundi Cha vikoba
Kukundi cha vicoba kingekupiga goli 5 kwa sifuri?
Sasa nyie chenu sijui tukiite kikundi cha nini??cha nyumbu wana Ngengemkeni mitomingi

Major transformation ya wapi nyumbu zinaporomoka tu na wanakimbia uwanjani hawaelewi hata wanakoenda.
Na bado
 
Hahahahaha siendi kwenye ule Uzi wetu najua walevi mtakua mmetapika balaa
 
Hahahahaha siendi kwenye ule Uzi wetu najua walevi mtakua mmetapika balaa
Nyumbu wenzio wamepoteana huko moja haikai mbili haikai
Unadhani unyumbu mchezo???

Kama nyie siyo nyumbu basi tufuateni pale juu.
Timu linaporomoka kama waterfalls
JamiiForums562527875.jpg
 
Nyumbu wenzio wamepoteana huko moja haikai mbili haikai
Unadhani unyumbu mchezo???

Kama nyie siyo nyumbu basi tufuateni pale juu.
Timu linaporomoka kama waterfallsView attachment 2067792
Lakini ukweli utabaki pale pale raph rangnick kocha wetu alimuokota bar jugen klop huko ujerumani bar inaitwa mexim anazagaa zagaa tu ndio akamfundisha ukocha
 
Lakini ukweli utabaki pale pale raph rangnick kocha wetu alimuokota bar jugen klop huko ujerumani bar inaitwa mexim anazagaa zagaa tu ndio akamfundisha ukocha
Hatukatai alimfundisha ila sasahivi huyo mzee wenu wa kuwachezesha gengeni sasahivi ni takataka amerudi yeye jalalani.

Kama nyie wanaume kweli tutoeni pale juu
 
Back
Top Bottom