Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Changu rii kiukweli siku hizi unanitenga sanaChangu Lee Asante sana Na mimi ninakusalimia Kwa ukaribu mkubwa mno
Changu rii kiukweli siku hizi unanitenga sanaChangu Lee Asante sana Na mimi ninakusalimia Kwa ukaribu mkubwa mno
Asante...nakuwaga Na safari za mwanza Mara nyingi sana lakini sinamwenyeji wa kunitembeza katikati ya jiji😒karibu sana.. mwanza unaweza usirudi tena Dar es Salaam tena....
Ninini changu Lee kuharibu jina sasa😁Changu rii kiukweli siku hizi unanitenga sana
🤣🤣🤣🤣Ninini changu Lee kuharibu jina sasa😁
Sijakutenga changu Lee sema tumetenganaa
Hahaha... Ngoja nicheke tu hahaa!!Safi sana, sasa unapumzika alone jamani.. sio fair 😊😊😊
We cheka tu unaadhabu yako🤣🤣🤣🤣
Itabidi unisamehe sina namnaWe cheka tu unaadhabu yako
Wanaume..na wanawake pia.. wanawake wafupi wengi wao nyuma huwa mashallahhhhh!!
Mfungo wako wa kanga umenikumbusha mbali sana..kipindi hicho nikifunga namna hiyo kitako kilikuwa kinachomoka chomo 😁😁 sijui hata kimepoteleaga wapi kitako changu jamani 🤣Hahaha... Ngoja nicheke tu hahaa!!
😊😊 Mwanza patamu, utafurahi sana kuanzia sasa.. Mwanza raha, hakuna kash kash kama za Dar es Salaam.. utachagua tu viwanja vya kwenda.. hadi uhamie moja kwa moja...Asante...nakuwaga Na safari za mwanza Mara nyingi sana lakini sinamwenyeji wa kunitembeza katikati ya jiji😒
Sikusamehi bure..natoza fwezaItabidi unisamehe sina namna
Jf money hapo itahusikaaaaSikusamehi bure..natoza fweza
😊😊😊 Mambo ni double double, unaona hata mwaka wenyewe ni double double.. 22 na sio 21.. Wakubwa wanafaidi sanaHahaha... Ngoja nicheke tu hahaa!!
🤣🤣🤣🤣🤣Wanaume..na wanawake pia.. wanawake wafupi wengi wao nyuma huwa mashallahhhhh!!
Hebu ngoja nijichungulie Kwa nyuma kulithibitisha hilo😁Wanaume..na wanawake pia.. wanawake wafupi wengi wao nyuma huwa mashallahhhhh!!
Kweli tena!

Ninaiman kunasiku nitahamia mwanza.ninapapenda sana.😊😊 Mwanza patamu, utafurahi sana kuanzia sasa.. Mwanza raha, hakuna kash kash kama za Dar es Salaam.. utachagua tu viwanja vya kwenda.. hadi uhamie moja kwa moja...
Hebu ngoja nijichungulie Kwa nyuma kulithibitisha hilo
Yap ni kweli Ila sio wote..mwanzo nilikuwa nawachukulia poabanaange
Ila wanagubu kha





