Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,239
- 95,465
Lindo
Happy new year to you too mwenye kipenzi chake!Anko frog happy new year
Hiyo siyo mali yangu.Zigo langu hili hapa👇😁😁😁mkuu,hiyo mali ni yako ? kama ndivyo,shikamoo
Nimefanyaje tena mtumishi[emoji23]Daah yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifungwa usikimbie tu, wala kusingizia...ukinifunga utapata vocha!Asenali tunawasubiri Alhamisi tuwanyooshe
Sura muhimu sana na Tako ni huai.. lina akiba ya chakula kwa mama zetu, usilibeze 😁😁😁.. Waburushi wakijua unachochote kitu wana force kingi uoe binti yao. na wakijua huna kitu atapigwa vita sana upoteze kombe 😂😂Igunga ni [emoji3533]
Kuna totoz za kiburushi toleo la mwisho
Kama shilole hivi[emoji1787]
Sema wamachame wamejazana sana sasa hivi
Biashara ya mpunga na kuuza vidawa vya mifugo na zile baridi
Sura nzuri tako hakuna[emoji2089]
Pale kagongwa wanyambo kama wote
Usiku tu panakuwa bien
Mchana utadhani maji yamekatiza pale jangwani[emoji2]
Kijana wa hovyo hovyoAsee karibu na chaka langu Gn'G hotel.. [emoji16][emoji16][emoji16]
Na ndio naamka hapa viunga vya baharini.. upepo umetulia kabisaaa, wakishua najiandaa nipike kahawa 😂😂😂😂😂 nirudi kulala hadi mchana😂
Ukalale sasa wa kishua
T 1990 ELY salama kabisa,
Mbona mguno tena jamanmmmh
😁😁 Anko frog utakuwa umenifananisha sikuwa mimiHappy new year to you too mwenye kipenzi chake!
Weekend nimekuona ukiwa na kipenzi mkielekea mnadani kula nyama choma huku mkiteta mawili matatu👇😁😁😁
View attachment 2067695
Uliweka[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeh kumbe wengi mnasubiri jomoneeeeh
Nakusabahi tu[emoji2321]Yaani pamoja na Kumfukuza Ole Guna Soksi ila bado wanatandikwa tu tena na timu ndogo kama hiyo [emoji2297][emoji2297]
Hapa salama kabisa bossSalama kabisa mkuu
Vipi pande hizo ni salama/kwema mkuu?
Alafu anatokea mhuni mmoja anasema jf hamna warembo!
Vocha ya sh ngapi kwanza ili nisiweke bando kabisa maana uhakika wa vocha upo🤭.Ukifungwa usikimbie tu, wala kusingizia...ukinifunga utapata vocha!
TunakulagaVocha ya sh ngapi kwanza ili nisiweke bando kabisa maana uhakika wa vocha upo[emoji2960].
Asenali mnatufungia wapi sisi?