Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Snap it.Show it😁😁😁
Mzee wa churaaa😅Snap it.Show it😁😁😁
View attachment 2067436
My brother just utani tu 😂😂😂Mkuu
Mbona mimi sio threat kwako
Jiamini bhana
Narudia mie domo zege
Nakula kwa macho
Hivyo tu
Kesho jioni nitakuwa singida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wigelekelo unanichekesha.. tusingiliane mawimbi tu.. ukija mwanza
Igunga kuna lodge flani kapo center pale jina limenitoka kuna vitoto vya kinywamwezi shida sana, ilikuwaga lazima niweke kituo.. 😂😂😂😂Kesho jioni nitakuwa singida
Nitalala ama nitaenda kusinzia igunga
Naelekea magharibi huko
Loji[emoji1787]Igunga kuna lodge flani kapo center pale jina limenitoka kuna vitoto vya kinywamwezi shida sana, ilikuwaga lazima niweke kituo.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kale ka lodge bwana kana jakuzi.. alafu kapo igunga hiyo.. kulikuwa na mtoto mmoja kama wa mwambao wa plani.. huyo aaaah! kidogo nihamie igunga 😂😂😂Loji[emoji1787]
Nikagundue nini
Lake oil pale naupunguza alfajiri
Nasepa
Yuko Bomba kabisa mzee wa hesabuMsalimie Eze
😂😁😁😁😁 tamuuu hiyo kama unavyo onekana ulivyo mtamu
Aisee...huu mwaka mtu afanye jambo [emoji23][emoji23][emoji23]iwekwe katika agenda za mwaka!Usiku mwema wana selfika![emoji124][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!View attachment 2067513
😂😂😂😂😂😂😂 Paka leo tarehe 03, sijachafuau ubao kwa kufanya matusi.. nasonge mbele tu.. ikipigwa parapanda amabao paka leo hatujafanya natoka kibabe sanaaa nitavimba kama cobra
Aisee...huu mwaka mtu afanye jambo [emoji23][emoji23][emoji23]iwekwe katika agenda za mwaka!
Sis darling....😂Brod darling.........
Unapga juis[emoji482]View attachment 2067534
Weekdays...Unapga juis
Wewe palladino kuja hapa[emoji482]View attachment 2067534
Ni wateule pekee watoto wa kiumeni ndio huwa tunaifunga wolves...Unapga juis
Tujadili kwanza kipigo mlichopewa na wolves dadeq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Weekdays...
Igunga ni [emoji3533]kale ka lodge bwana kana jakuzi.. alafu kapo igunga hiyo.. kulikuwa na mtoto mmoja kama wa mwambao wa plani.. huyo aaaah! kidogo nihamie igunga [emoji23][emoji23][emoji23]