Drive safely boss!
Bora mmekuja walau selfika itachangamka...leo Tangu asubuhi palidoda🤣
Asee unaonekana tolu si kidogo




Hebu weka nimemiss kukuona, wengine picha zetu zina moto tukiweka hapa watu wataanza kulia wanaungua.Chat na picha!






Bora mmekuja walau selfika itachangamka...leo Tangu asubuhi palidoda![]()




nimerud shost angu,


Fanya wepesiiii shooo leo wanselfika bizeee mie tu ndo nipo kuzurura hapa 🤣🤣🤣!nimerud shost angu,
Fanya wepesiiii shooo leo wanselfika bizeee mie tu ndo nipo kuzurura hapa!




ngojaa baadae usiku naweka bomu hilo.SijaionaAliweka full badae akaikata! Mganga hensamu amenona hadi unywele!![]()
Fanya irudieUmechelewa ilikuwa furu furu
Selfika wewe basiii!😳Sijaiona