Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahhahaa hapo nilikuwa nikukonyeze; mdogo angu mbona vile tena jamani". Nakutana na comment hii tena. Mbona gauni jekundu sina sasa?'


Heaven Sent wallahi leo kwa mara ya kwanza nimekuota umetuma picha humu! Yaani ile nimeamka tu nimekuja mbio selfika nikidhani Roho Mtakatifu amenionesha usingizini ili niwahi kuja kuona picha yako nisipitwe!

Najua unaweza hisi utani ila niko serious kabisa Mungu shahidi yangu siwezi msingizia kwenye hili! Tena nimeota umetupia full umevaa gauni jekundu hujajiziba na emoji ila tu uso umeangalia nyuma so haukuonekana vizuri!
 
Imagine tunasoma Warumi 8
Watu mnalijua Neno mpaka basi

Screenshot_20220101-005350_Swahili%20Bible%20Offline.jpg
Screenshot_20220101-005402_Swahili%20Bible%20Offline.jpg
 
Back
Top Bottom