Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji123][emoji123][emoji123]

mcinika___wa___lamar~p~CYJl1bKMCle~1.jpg
 
Woyooooo hatimaye leo umeselfika. Heaven Sent umebaki wewe tu sasa wa kututumia picha walau ya kufungia huu mwaka jamani hebu tuonee huruma wenzio tunaokuomba tangu mwaka juzi. [emoji3064][emoji3064]

Shimba Ya Buyenze Mungu akubariki sana rafiki. Yu a gojazi na hata hauendani na ule umri unaotudanganyaga humu ila tu sasa ndiyo nimeelewa kwanini wewe na mayutong ni kama mchaga na mbege. [emoji16][emoji16]

Asante Karma. Unaweza kufafanua kidogo kuhusu hiyo observation yako ya mayutong? [emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20211231-WA0133.jpg
 
Happy new year my friend Kijana wa hovyo hovyo
Bro@Extrovert
Kiranja Mkuu mr Mshana Jr
Cha mideko Depal
Mdada mpole Heaven Sent
Mzee wa busara Shimba Ya Buyenze
Rafiki Karma cocastic mawardat mahondaw geraldincredible reymage Tinsley
Mama mchungaji Saint Anne na wengine wengi


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na kwako pia daktari. Mungu Akaitumie mikono yako kueneza upendo wake na kipawa cha uponyaji kupitia kwako. Blessings mkuu [emoji1545][emoji1545]
IMG-20211231-WA0135.jpg
 
Na wote tuseme Amin..
Nimeomba na nimelia sana baada ya kuona wapendwa wetu waliobaki nyuma.


Nimeomba kwa uchungu mno,
Mungu ameachilia furaha,,sasa ni zamu yetu..
Hakuna atakayeishia njiani tena..

Maombi haya nayaachilia kwako pia Kaka mkubwa.
Mungu akaipe furaha familia yenu..akaondoe huzuni na kilio na mwaka huu ukawe tofauti kwenu,hakuna atakayabaki njiani tena[emoji120]
 
Nimeomba na nimelia sana baada ya kuona wapendwa wetu waliobaki nyuma.


Nimeomba kwa uchungu mno,
Mungu ameachilia furaha,,sasa ni zamu yetu..
Hakuna atakayeishia njiani tena..

Maombi haya nayaachilia kwako pia Kaka mkubwa.
Mungu akaipe furaha familia yenu..akaondoe huzuni na kilio na mwaka huu ukawe tofauti kwenu,hakuna atakayabaki njiani tena[emoji120]
Amin Anne! Tuombeane furaha, upendo, afya njema na amani!
 
Back
Top Bottom