Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante Karma. Unaweza kufafanua kidogo kuhusu hiyo observation yako ya mayutong? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2064510
Hahaa si kwa sababu wanaume wengi wenye miili kama wako huwa hampendi wanawake vimbaumbau mnapenda wanawake wanene [emoji16][emoji16]

Happy new year [emoji120][emoji120]
 
cocastic wetu bado anaumwa? Kuna anayejua habari zake? Tumkumbuke katika maombi yetu na kumtakia mwaka mpya mwema huko aliko [emoji1545]

cocastic. Kama bado unaumwa basi Mungu Akuponye na ukawe na mwaka mpya mwema na wenye heri [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Screenshot_20220101-014323.jpg
 
Back
Top Bottom