Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado dakika chache kabisa tuuingie mwaka mwingine wa 2022 ( A phenomenal act) Naombeni tuwakumbuke hawa
Wagonjwa wote walioko mahospitalini na majumbani
Mahabusu wote
Wafungwa wote
Yatima na wajane wote
Wenye shida mbalimbali za kimwili na kiroho pia
Wasafiri wote
Na wote wanaopitia nyakati zozote ngumu iwe madeni, ajira mahusiano nknk
Tusisahau kujiombea pia
 
Amen
 
To you my jf family! Thank you for all beautiful memories we have together this year. I do appreciate each and everyone of you! May the coming year be an amazing one for all of us. Amen
Happy New Year 2022

Mahondaw.
View attachment 2064438
Nimependa bure mtuno wa lipsi zako mkuu hope unasadifu kuwa yaliyomo yamo

Akhsante sana na kwako pia mkuu
 
IMG_20211231_230537.jpg
IMG_20211231_233331.jpg
IMG_20211231_232227.jpg
giphy.gif
giphy.gif
 
Back
Top Bottom