Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na ikawe hivyo hivyo kwako na walio karibu yako miss mahondaw. Mwaka huu nadhani iwe kutafuta pesa na furaha, bila kusahau utam[emoji23][emoji23] kidding
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Amin Amin uwe wa kutafuta pesa na furaha harder and harder!! Ofcoz I do tafuta rafiki! Utamu naupata mpaka nachoka rafiki.Thanks🤭😜
 
Happy New Year Fellas [emoji120][emoji120] [emoji173][emoji173]
JamiiForums812707999.jpg
JamiiForums1823825311.jpg
Screenshot_20220101-000025_One%20UI%20Home.jpg
Screenshot_20220101-000039_One%20UI%20Home.jpg
 
Mwaka Mpya Mwema Wapendwa. Mungu Atulinde na kutuongoza kwa mwaka huu mpya unaoanza. Tuliokosana tukasameheane na kuanza upya. Pia tukumbuke kuwasaidia masikini, wajane, wagonjwa na wote wenye uhitaji. Hiyo ndiyo dini ya kweli.

Kwa wahenga wenzangu; Mungu Azidi kutuimarisha na kutupa afya njema. Tufanye mazoezi na kula vizuri.

Ng'wabeja (Asanteni)

Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom