Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Nawe pia Anneš„°š„°Happy new year 2022.
Wale wote tuliolia nwaka uliopita,naomba kwa Mungu mwaka huu ukawe wa ushindi kwetu.
Baraka za Mungu ziwe pamoja na kila mmoja n wapendwa wenu wote.
Mungu akawalinde wote ,,asiwepo yeyote wa kuishia njiani.


