Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwaka Mpya Mwema Wapendwa. Mungu Atulinde na kutuongoza kwa mwaka huu mpya unaoanza. Tuliokosana tukasameheane na kuanza upya. Pia tukumbuke kuwasaidia masikini, wajane, wagonjwa na wote wenye uhitaji. Hiyo ndiyo dini ya kweli.

Kwa wahenga wenzangu; Mungu Azidi kutuimarisha na kutupa afya njema. Tufanye mazoezi na kula vizuri.

Ng'wabeja (Asanteni)

Blessings

View attachment 2064424

Papa ngoshaaaa, kwa kweli tunaumaliza mwaka. Ukauone wema wa Mungu, na mkono wake usikupungukie. Ndaga fijo
 
God is good!,All the time. All the time God is good. Hadi 2022 ful selfieView attachment 2064454
Screenshot_20211231-233839~2.jpg
 
Mwaka Mpya Mwema Wapendwa. Mungu Atulinde na kutuongoza kwa mwaka huu mpya unaoanza. Tuliokosana tukasameheane na kuanza upya. Pia tukumbuke kuwasaidia masikini, wajane, wagonjwa na wote wenye uhitaji. Hiyo ndiyo dini ya kweli.

Kwa wahenga wenzangu; Mungu Azidi kutuimarisha na kutupa afya njema. Tufanye mazoezi na kula vizuri.

Ng'wabeja (Asanteni)

Blessings
Woyooooo hatimaye leo umeselfika. Heaven Sent umebaki wewe tu sasa wa kututumia picha walau ya kufungia huu mwaka jamani hebu tuonee huruma wenzio tunaokuomba tangu mwaka juzi.

Shimba Ya Buyenze Mungu akubariki sana rafiki. Yu a gojazi na hata hauendani na ule umri unaotudanganyaga humu ila tu sasa ndiyo nimeelewa kwanini wewe na mayutong ni kama mchaga na mbege.
 
Back
Top Bottom