geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
baba Joycenipe 5 mwanangu we ndio mchiz wanguuu - Lord eyes
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
baba Joycenipe 5 mwanangu we ndio mchiz wanguuu - Lord eyes
Anajidai haoniPep Umesikia eeh![]()
tunaomba picha mtumishi....From January to December nimejua ulinilinda
Ni wewe
Tangu mawio machweo ulinipa huu mwangaza
Ni wewe
Nyakati za huzuni, furaha, zote unanipa amani
Milimani, mabondeni, kote unakuwa nami.
Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Iyee iyee, iyee iyee
Mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha pale ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Sina mwingine
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe.
Ujazae bodo langu mishale, vitani ni wewe Bwana
Ufutae uso wangu aibu na fedheha ni wewe Bwana
Hayupo mwingine aa kunifuta machozi yangu ila ni wewe
Ninapokosa ujasiri na nguvu zijaponiishia msaada wangu ni wewe.
Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Iyee iyee, iyee iyee
Na mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Hayupo mwingine ila wewe Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe msaidizi wangu Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni weweView attachment 2060233
Ufutae uso wangu aibu na fedheha, ni wewe Bwana"Nyakati za huzuni furaha
Zote unanipa amani
Milimani mabondeni
Kote unakuwa nami"



Nkamu, picha gani tena?





"Nchi ya ahadi ni nzuriUfutae uso wangu aibu na fedheha, ni wewe Bwana
Hayupo mwingine wa kunifuta machozi yangu ila ni wewe,
Ninapokosa ujasiri na nguvu zijaponiishia msaada wangu ni wewe .
![]()
Aiseeeee!!Bhasi kazi ipo kwa kweliKama sijasahau ! Kuna Siku mshana alipost humu picha yake nyingine pia dume limejimake up mpaka basi!
Huyu nae kashakua mdada kabisaa!!Frank MastonView attachment 2060154
Thanks God we are all doing well! Hope nawe uko poa!Aiseeeee!!Bhasi kazi ipo kwa kweli
Kwema lakini mkuu
Ona hilo pozi na hapo Kati nyuma kibinda kilivojichonga!!!!!

