Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Nakusubiria mama mtumishiSawa,Naleta[emoji38]
Nakusubiria mama mtumishiSawa,Naleta[emoji38]
Wazo zuri
Kwa kweli namshukuru MUNGU nimeamka salama kabisaAbee T 1990 ELY
Natumai umeamka vema
Huku kwema kabisa mkuu, Mungu ni mwemaKwa kweli namshukuru MUNGU nimeamka salama kabisa
Habari za asubuhi mkuu
AminaHuku kwema kabisa mkuu, Mungu ni mwema
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Hahaha nina Dawa nzuri kilingenu
Yeke Mburaaa!! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
asante sana mkuu....uko na wakike tuu??Congratulations mkuu. Jr. yuko vizuri...as for me I need a son so bad [emoji1545][emoji1545]
nipe 5 mwanangu we ndio mchiz wanguuu - Lord eyes2021 was [emoji817][emoji817][emoji817]View attachment 2059994
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hilo pozi kha!!! [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Kama mwanamke kweli vile!!!Frank MastonView attachment 2060154
Mmmh....Ni mwanaume huyo?Hilo pozi kha!!! [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Kama mwanamke kweli vile!!!
Kama sijasahau ! Kuna Siku mshana alipost humu picha yake nyingine pia dume limejimake up mpaka basi!Mmmh....Ni mwanaume huyo?
"Nyakati za huzuni furahaFrom January to December nimejua ulinilinda
Ni wewe
Tangu mawio machweo ulinipa huu mwangaza
Ni wewe
Nyakati za huzuni, furaha, zote unanipa amani
Milimani, mabondeni, kote unakuwa nami.
Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Iyee iyee, iyee iyee
Mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha pale ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Sina mwingine
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe.
Ujazae bodo langu mishale, vitani ni wewe Bwana
Ufutae uso wangu aibu na fedheha ni wewe Bwana
Hayupo mwingine aa kunifuta machozi yangu ila ni wewe
Ninapokosa ujasiri na nguvu zijaponiishia msaada wangu ni wewe.
Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Iyee iyee, iyee iyee
Na mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Hayupo mwingine ila wewe Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe msaidizi wangu Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni weweView attachment 2060233
Nadhani alimaanisha mtumaji atume kwa kupitia wakala,,asitumie namba yake ya simu.Wazo zuri
167517-NENGELO OIL
M-pesa