Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Hata mimi aisee. Nimekumbuka solo kali ya Dalii Kimoko na Diblo Dibala. Nikataka hata kuulizia nikaona nikaushe tu. Fani za watu! [emoji16][emoji16]Kweli kila mtu na sekta yake hapo ulipozungumzia solo ikanijia taswira ya gitaa