Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani kama group la Selfika tunafanyaje kuhusu msiba baba wa mwenzetu? Naombeni maoni yenu
giphy.gif
Kama ilivyo ada kaka mkubwa tumfariji mwenzetu naomba utafute utaratibu utujulishe mkuu wangu
 
Mpendwa; solo ni nini?

Vipenseli ni nini?

Mchanuo ni nini?

[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka sana,solo gauni za kuchanuaaa kama picha za hapo juu,penseli ni magauni ya kubana yanakuchora mwili wako!![emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kumbe rahisi tu. Nimeelewa mpendwa. Asante sana [emoji1545]
 
Ukiwa boss lady bila shaka vitu kama hivi unakuwa ushavizoea tu. Na kwa level yako hayo "maua" hayakupaswa kuwa ya kienyeji (madafu)...kama ulivyofanya kwenye birthday fulani uliyowahi kum-wish bosi fulani humu. Nakuaminia boss lady [emoji122][emoji122]
Ni kushukuru hata kwa kupewa kilichopatikana msukuma nyie wanaume hamjuagi vya maua kiviiilee!!!!! kwangu ni bora kidogo / Cha kawaida ila chenye furaha na amani...kuliko kinyume chake. Halafu kamwe katika maisha usijilinganishe..

Hope umeamka salama!
 
Back
Top Bottom