Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah wenzetu vyakula vyao visafi hadi raha na vimebandikwa stickers kabisa ila huku kwetu sasa [emoji2297][emoji2297]
Huku kwetu ndizi zikatoke zimekula vumbi kwenye kenta za Mwakaleli,hadi kufika mjini ziko fiii[emoji23][emoji23][emoji23].

Huko waameweka hadi stika bei yake sasa utakuta mshahara wangu wa miezi mitatu.
 
Screenshot_20211226-123935.jpg
 
Back
Top Bottom