Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hii niletee na mimi
sawaLeo nimenusurika kunywa
Ni miguu yako my ex?
Leo nimenusurika kunywa
Nichukulie moja basiNilivyoona nikamkumbuka Jack Palladino
Extrovert this time sijawaangushaView attachment 2058523View attachment 2058524View attachment 2058525
Happy boxing day everyone, vipi mmefungua gift boxes kweli au mmeishia kufungua milango home tu
View attachment 2058557
Hata hapa ninayo..nimenunuliwa.Ikawaje ukaponyoka?
Njoo uchukue.Nichukulie moja basi
Njoo uchukue.
Halafu hizi pombe zenu kwenye picha zinaonekana ndogo ila ukishika chupa lenyewe kuuubwa



Halafu unakuta mtu anakunywa chupa lote hilo
Yes dear Heaven, happy boxing day 😍Mnyaki weeeee
Walevi wana ushawishi, kaigaweeeeHata hapa ninayo..nimenunuliwa.
Mwenyewe nataka nimrudishie.