Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20211225_210308.jpg
 
Mambo mengine wacha tu yakupite mdogo angu, especially ikiwa hayakuongezei chochote cha msingi, na wala hupotezi chochote usipoyafanya. Njoo tujaze nzi na Fanta[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijua tu utatoa neno.

Wewe sasa ndiye kielelezo changu cha kwanza.
 
Yaani leo sijapata mwaliko hata mmoja! Haina noma EID haiko mbali, mtu asije lalamika nikimjibu "wakti dhuhri" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mjukuu wangu yuko wapi? Hapatikani kila sehemu yaani. Ole wako! [emoji51][emoji51][emoji51]
 
I have a friend pia ambae hatumii kabisa..hata tukiwa na girls day out wote tutakunywa hata vi wine yeye hagusi na hajawahi kuonja hata kifuniko..maombi yangu kwenu muendelee hivyo hivyo aisee. Mnakua na kau virgin kenu flani ivi spesheli..Respect
Oohh!!thank you honey[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]maombi yamepokolewa mpk mbinguni!![emoji1][emoji1][emoji1]hako ka uvirgin sasaa....!!!

Huyo shosti ako ni kama Mimi nna mashosti wanywaji mpk madompo,ma K Vant ila Mimi sasa,[emoji1][emoji1]soda maji!washasema wamechoka wamenizoea and they r my live wananipenda sana na ubibi wangu wote!
Mimi nawaza sinywi Niko mtata,nikinywa itakuaje!!![emoji1]bora hivi hivi!
 
Back
Top Bottom