Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Hahaa!! Natamani nicheke sana sema mbavuuuuuu mbavuuuuuu zangu leo hazitaki nicheke kabisa!Unaona unavofikirisha wengi
Hahaa!! Natamani nicheke sana sema mbavuuuuuu mbavuuuuuu zangu leo hazitaki nicheke kabisa!Unaona unavofikirisha wengi
😀😀😀😀😀😀Hahaa!! Natamani nicheke sana sema mbavuuuuuu mbavuuuuuu zangu leo hazitaki nicheke kabisa!
Jana nilitingwa kidogo Ila nakuja leo usiigawe rafiki!!Ni salama rafiki, nikasubili ufuate zawadi yako ukapotea moja kwa moja![]()
Nimeumwa gafla hapa sina pozi kabisa!😀😀😀😀😀😀
Jana nilitingwa kidogo Ila nakuja leo usiigawe rafiki!!
Pole nni tatzoNimeumwa gafla hapa sina pozi kabisa!
Taratibu unaanza kuselfika.Good Morning Y'allView attachment 2057881
Umeona eeeehhh! Leo Ndo siku yake kabisa..Ndio boxing day leo halafu, usijali rafiki..
Umeona eeeehhh! Leo Ndo siku yake kabisa..
Taratibu unaanza kuselfika.
Mwanzo mzuri![]()
Nahisi homa pia sina hamu ya kula afu nimeamka mchovu sana!Pole nni tatzo
Jana si ilikuwa sikukuu nilijua hayaNahisi homa pia sina hamu ya kula afu nimeamka mchovu sana!
Unaninanga tena jamani!! Yani hata kuamka naona uvivu eti! Kichwa kizitoooooo dah!!Jana si ilikuwa sikukuu nilijua haya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unaninanga tena jamani!! Yani hata kuamka naona uvivu eti! Kichwa kizitoooooo dah!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Poleee sanaaaSio vizuri! Wee nicheke tu!
Asante bosiPoleee sanaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 utaweza ? Utanimis tu jioni ushaselfikaaAsante! Ngoja nichukue likizo kidogo mpaka 2022!!