Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hi saulimeti, hilo guu lisikutishe ni picha tu lipo kawaida na lina bonge la tege😀😀
Under what?? Aisee nakaribia 35 mkuu.
Thank you lkn👍
Alafu wewe na mwenzio Depal mnapenda kuongeza namba sn za miaka..kuna watu wanatafuta wake humu.Mnaweza kujikuta mnapiga Teke bakuli za dhahabu maana ukishasema miaka 35 mtu anajua maji ya jioni hayo kbe kabinti Tu Ka miaka 23

Me sipendi ukorofiiii huoooo🤣
 
Haya basi sisi tumetimiza 19yrs mwezi huu, umefurahi sasa🤔 wanaotafuta mke au mme hawaangalii umri wanaangalia upendo zaidi🤪
 
Nehi..Siyo kweli kabisa😁
Yani nikaoe mwanamke wa miaka 38 eti kisa ana upendo!!?
Miaka 38 anatakiwa awe na mwanaume mstaafu wawe wanapanga namna ya kutumia pesa za mafao,maana Kwa umri huo Tyr anakaribia menopause.

Umri huo wanakuwa bize kuwasha redio saa 6 za usiku kusikiliza vipindi vya chumbani,kuomba ushauri Kwa doctor maana anachelewa sn kulowana akiwa faragha,Hadi anapata michubuko😁😁, Doctor anmjibu awe anatumia bamia na nyanya chungu Kwa wingi,pia asisahau vipipi vya Zanzibar

Sasa Mimi na ujana huu ndy nikaoe wa miaka hiyo kweli FS? Jua linichome,nguvu za kiume zinisumbue nikirudi nyumbani mke nae matatizo rundo wakati wa kugegeda🤣🤣..kisa UPENDO!!

Ngoja Kwanza nikomae na kuku wa kienyeji under 25 huku mwananyamala Kwa njunju..Nikifika levo za kuitwa mstaafu nitatafuta hao above 35 wenye UPENDO 🤣
 
Huku duniani
20211125_222819.jpg
 
Yaani we katoto inabidi uanze kuniamkia kutwa mara 3 kama dozi, jf ina vitoto hii
Hpn..unajidanganya sn,Niko 30+,nikuambie Siri ya kuwa forever young?

Nakula sn mboga za majni,sili nyama,kufanya mazoezi

Kingine kumbuka leo ni throw back Thursday,Kwa hiyo picha ni ya miaka mitatu iliyopita

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Dogo hii mineno yote umejifunzia wapi 😂😂

Back
Top Bottom