Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjukuu wangu yuko wapi? Hapatikani kila sehemu yaani. Ole wako! [emoji51][emoji51][emoji51]
Mi mwenyewe kanikimbia!!
[emoji2377][emoji2377][emoji2377] usikute kuna njemba imemficha! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
La pistona
IMG20211226013905.jpg
 
Mambo mengine wacha tu yakupite mdogo angu, especially ikiwa hayakuongezei chochote cha msingi, na wala hupotezi chochote usipoyafanya. Njoo tujaze nzi na Fanta[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ningekuwa nakunywa nadhani ningekuwa ndani polisi sasahivi kwa vurugu.
 
Back
Top Bottom