Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante sana binti. Nafurahi kusikia kuwa hujambo. Nilikuwa na wasiwasi sana kwa sababu ulipotea ghafla tu bila kuaga. Sikukuu njema sana na mibaraka tele kwako na wapendwa wako wote.

Mwokozi Amezaliwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amezaliwa kweli kweli daddy....

Pole kwa kuwa na wasiwasi kuna mambo yaliingilia kidogo,,

Mungu azidi kukutunza daddy
 
JamiiForums-1988460954.jpg
 
Oohh!!thank you honey[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]maombi yamepokolewa mpk mbinguni!![emoji1][emoji1][emoji1]hako ka uvirgin sasaa....!!!

Huyo shosti ako ni kama Mimi nna mashosti wanywaji mpk madompo,ma K Vant ila Mimi sasa,[emoji1][emoji1]soda maji!washasema wamechoka wamenizoea and they r my live wananipenda sana na ubibi wangu wote!
Mimi nawaza sinywi Niko mtata,nikinywa itakuaje!!![emoji1]bora hivi hivi!
Hahaha ukiwa mtata ukinywa unanywea[emoji23]
 
Back
Top Bottom