Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Na kupitil8za!Unashiba??
Na kupitil8za!Unashiba??
Nauhitaji Fanta Orange zipo?Mwaliko wa soda hauhitaji mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kupitil8za!
Karibu boss tunywe juiceNauhitaji Fanta Orange zipo?
Wapi apo?Karibu boss tunywe juice
Nitakuwepo nyumbaniWapi apo?
Sucking lips
Anakula ndio,Kaka anakula?[emoji134]
Basi una asili ya nywele , zinakua haraka .Nilikata wiii
Hata hizi nasuka na kukata,,,usishangae kesho kuniona nimekata.View attachment 2055978
Miyeyusho weweNitakuwepo nyumbani
Una nywele nzuri sana Wii, ila hupendi nywele! Unazikata tuu kila mara. Ndio penye miti hapana wajenzi?Nilikata wiii
Hata hizi nasuka na kukata,,,usishangae kesho kuniona nimekata.View attachment 2055978
Acha ukatili bana
Una vidole vizuri na rangi pia ya ngoziView attachment 2055634
Home sweet home
Mnanitamanisha jamani[emoji8][emoji847]Mama mtumishi njoo unywe hii tamu kama mirinda nyeusiView attachment 2056012
[emoji23][emoji23]Acha ukatili bana
Baba mtumishi Pep atakuelewa, hanaga shidaMnanitamanisha jamani[emoji8][emoji847]
Inanogaje?
Ila baba mtumishi wangu hatakubali kabisa ninywe.
Ngoja aje hapa utasikia majibu yake[emoji23]Baba mtumishi Pep atakuelewa, hanaga shida