Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ndio ni mimiNi wee hapo bhana [emoji7][emoji7][emoji7]
Ila ni kwa msaada wa make up na filter [emoji23].
Ndio ni mimiNi wee hapo bhana [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti eeeh haya sawa.halii bwana, haiumi kihivyo huyo dada yako alikuwa anataka kubembelezwa tu..
[emoji173]
[emoji1490]Ewaaaaa
Mara utembee afu nguo kama isugue panapo jipu, mweeehYaan atalia huyo kaka, ila uzuri wake linaiva haraka,
Jipu mie liliwahi ota ktk paja kwa nyuma chin ya makalio, [emoji23][emoji23][emoji23] sitasahau, jipu lisikie kwa mwenzio sio likupate wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka ujue yaaaan.Ndio ni mimi
Ila ni kwa msaada wa make up na filter [emoji23].
Hahaha ukiniona live ndo utaelewa nguvu ya makeup .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka ujue yaaaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jipu tena bora kwa mtu mweusi, mie sasa lilikua pyuuu jekundu km mgando wa damu, nlikua navaa lubega afu naishka nguo na mkono isiguse, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara utembee afu nguo kama isugue panapo jipu, mweeeh
KigodoKumbe na wewe huwa zinakukolea hadi unalewa!
Huyo uliemzungumzia hapoDada yupi? Nnao wengi mno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi wee.Hahaha ukiniona live ndo utaelewa nguvu ya makeup .
NingeshangaaKigodo
Mrembo mwingine..[emoji7]
Bas usijar, afu vipi Jack Daniel's na Guinness huleti? Mie ndo naondoka hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo uliemzungumzia hapo
❤️❤️[emoji173]
Ndo ukweli huo .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi wee.
[emoji7][emoji7][emoji7]
Tuongeze nyingine[emoji847][emoji3590][emoji3590]
Hapana hata [emoji23][emoji23][emoji23]Ndo ukweli huo .