The ZoeUsiku MwemeniView attachment 2053963
The ZoeUsiku MwemeniView attachment 2053963
Asituige watukutu akina Anne[emoji38]Ndaga fijo nkamu. Na wewe uendelee kuwa kapole hivyohivyo, usituige dada zako hapa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ondoa emoj basiUsiku MwemeniView attachment 2053963
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee hutaki kubadilisha mtindo?Ah zile nywele nimewahi kusuka mara 1 tu maisha yangu yote hadi sasa.
Zinapoteza mno muda,,,mimi nywele ya kusuka muda mrefu huwa nachoka mapema sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnasubiri mambo ambayo hayapo?
[emoji7]Safi. Hizi ndo channel za kuangalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huyo uliye mtaja muache, mkewe anafaidi aseeh, kwa wembamba ule na urefu piaa, aaah afu iwekwe style ya msomali kafia kwenye fiati acha bhana wee,Hivi wanaochapiwa ni Wanaume Wanene peke yao? [emoji12][emoji12] Watu wakishakinaiana hata wote wawe wembamba tupu kama Paul Kagame bado watachapiiana [emoji28]
Njoo ule Mbuzi huku achana na Ubonge nyanya wangu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji1732][emoji1732]
Wekeni kitimoto bhana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitmoto kwa leo haina nafasi ni mwendo wa mbuzi choma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeeeh makubwa haya tena lol.Hii thread imenifanya nijue raia za JF zinaonekanaje,atleast inakufanya uone upo mtandao wenye binadamu.
Japo katika ID 10 nilizokua nikidhani ni Pisi kali za kwenda nimeangukiaa PUA na namshukuru Mungu sikuwahigi hata zipaparikia[emoji23]
Sema JF imejaaa wadada wa kawaida munoooo zile sura za kuweka ndani kama (WIFE) ndio zimejazana..
Sura za kutembea kulia bata zinahesabika walahi tena yakupasa uwe na darubini kuzipata pisi kali..
Ila WIFE MATERIAL FACES zimejazana kila angle, Nahitimisha kwa kusema JF ina wife material wengi sana hakiiiii tena.
Gentlemen jiongezeni wadada wa humu wako na sura personal Mno, its safe to marry them let us Work out ktk hili.. Tupambanie hili Guys.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapa hadi tumbo linauma mie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vizuri kuwa na less expectations katika kila jambo chief
Eti sura za kulia bata..hivi jf hii misemo mnatoaga wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kwa zile nywele za kukaa masaa yote zinasukwa tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee hutaki kubadilisha mtindo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiih.tatizo unaweza soma comment ya mtu jukwaa la Urembo kule ukajisemea hii mtoto lazima itakua pisi tu sio kwa namna inajua kuvaa na kupangilia vitu asee..
Njoo selfika ukutane na vidole vyake ndio utajua hujui kufikiria
I repeat again please achia mdomo na pua au una pua ya kihindi.Usiku MwemeniView attachment 2053963
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unachanganyikiwaga na filter za Instagram?
Vipi mmepewa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuona vidole tu ni ishara tosha kabisa kujiaminisha wewe kuwa mwenye vidole ana sura ya abdala kichwa wazi?[emoji3]
We jamaa bhana
Nani huyu. Sio 🐦🐦joh😜😜
Uko ugweno babuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Home is sweetView attachment 2053569