Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Alafu hiyo namba ....145....alikuwa anaandikiwa Nani? Hata kama sijavaa miwani, kwenye hiyo sekta ya wivu nina B+
Uwe na wakati mwema Mkuu


hii password ya WiFiAlafu hiyo namba ....145....alikuwa anaandikiwa Nani? Hata kama sijavaa miwani, kwenye hiyo sekta ya wivu nina B+
Uwe na wakati mwema Mkuu


hii password ya WiFiHii thread imenifanya nijue raia za JF zinaonekanaje,atleast inakufanya uone upo mtandao wenye binadamu.
Japo katika ID 10 nilizokua nikidhani ni Pisi kali za kwenda nimeangukiaa PUA na namshukuru Mungu sikuwahigi hata zipaparikia
Sema JF imejaaa wadada wa kawaida munoooo zile sura za kuweka ndani kama (WIFE) ndio zimejazana..
Sura za kutembea kulia bata zinahesabika walahi tena yakupasa uwe na darubini kuzipata pisi kali..
Ila WIFE MATERIAL FACES zimejazana kila angle, Nahitimisha kwa kusema JF ina wife material wengi sana hakiiiii tena.
Gentlemen jiongezeni wadada wa humu wako na sura personal Mno, its safe to marry them let us Work out ktk hili.. Tupambanie hili Guys.
Isijekua uliweka picha mi sijaona we mtakatifuNikugawie hichi kitambi kilichomwagika
Kuona vidole tu ni ishara tosha kabisa kujiaminisha wewe kuwa mwenye vidole ana sura ya abdala kichwa wazi?tatizo unaweza soma comment ya mtu jukwaa la Urembo kule ukajisemea hii mtoto lazima itakua pisi tu sio kwa namna inajua kuvaa na kupangilia vitu asee..
Njoo selfika ukutane na vidole vyake ndio utajua hujui kufikiria

Valentina mamboIsijekua uliweka picha mi sijaona we mtakatifu
Kwanza ukumbuke nakudai picha usijisahaulishe uko
safi haya ndo mambo rafiki.unakuta jitu disemba hii,linawaza kodi.ada,sikukuu.kha
Ngm
ewa haya ndo mambo ya disemba sasa .niko kitarasa pub nazigida


Kitasarasa kama Kitarasa Mtu Chake


Bila shaka hapa ni Salunda mkuuKARIBUNI WATEJAView attachment 2053468
Ni mara ya kumi hii naweka picha na kukutagIsijekua uliweka picha mi sijaona we mtakatifu
Kwanza ukumbuke nakudai picha usijisahaulishe uko
Sasa mbona sipati tagNi mara ya kumi hii naweka picha na kukutag

Hapana siyo Salunda mkuuBila shaka hapa ni Salunda mkuu
hahahaha hili jina cjui kalitoa wapi jamaa
Mwili kuchoka
Maumivu ya mwili mzima na viungo
Kichwa kuuma & Kizunguzungu
Kukosa hamu ya kula
Kushindwa kunusa harufu
Homa
Kikohozi
Kukosa pumzi (Kupumua kwa shida)
Kifua kubana
Makohozi yenye damu au njano nzito
Kushindwa kupumua (Kukosa hewa - unawekewa oxygen)
Homa kali
Mapafu kujaa maji (Pneumonia)
🧄🧅





1. Kuwashwa kwenye koo
2. kukauka koo
3. Kikohozi kikavu
4. Joto kubwa
5. ```kupumua kwa tabu

Inabidi ujiongeze kwa kuchunguliaSasa mbona sipati tag
Kot na likes ndo napata jamani


Nilitaka kuanza kufura kwa wivu 😅hii password ya WiFi