Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20211222_151039.jpg
20211222_150919.jpg
 
Hii thread imenifanya nijue raia za JF zinaonekanaje,atleast inakufanya uone upo mtandao wenye binadamu.

Japo katika ID 10 nilizokua nikidhani ni Pisi kali za kwenda nimeangukiaa PUA na namshukuru Mungu sikuwahigi hata zipaparikia

Sema JF imejaaa wadada wa kawaida munoooo zile sura za kuweka ndani kama (WIFE) ndio zimejazana..

Sura za kutembea kulia bata zinahesabika walahi tena yakupasa uwe na darubini kuzipata pisi kali..

Ila WIFE MATERIAL FACES zimejazana kila angle, Nahitimisha kwa kusema JF ina wife material wengi sana hakiiiii tena.

Gentlemen jiongezeni wadada wa humu wako na sura personal Mno, its safe to marry them let us Work out ktk hili.. Tupambanie hili Guys.
 
Ni vizuri kuwa na less expectations katika kila jambo chief

Eti sura za kulia bata..hivi jf hii misemo mnatoaga wapi?
 
tatizo unaweza soma comment ya mtu jukwaa la Urembo kule ukajisemea hii mtoto lazima itakua pisi tu sio kwa namna inajua kuvaa na kupangilia vitu asee..

Njoo selfika ukutane na vidole vyake ndio utajua hujui kufikiria
 
Back
Top Bottom