cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Umeishiwa cha kutazama mlongo, bas toka nje kacheze kihoda





Umeishiwa cha kutazama mlongo, bas toka nje kacheze kihoda





Watoto mlaleNgoja aje kesho akulime quiz ndio utamuelewa![]()
Nipo na grants nowLect post Jack Daniel's bas,![]()
Mlongo napenda hivi katuni,yaani sichomoiUmeishiwa cha kutazama mlongo, bas toka nje kacheze kihoda![]()


Nataman alirudishe hili jina nalipenda mno, naogopa kumuambia atani shoot risasiThe Zoe




Ndo ushamwambia hivyo ngoja aamkeNataman alirudishe hili jina nalipenda mno, naogopa kumuambia atani shoot risasi![]()
Siyo kwa zile nywele za kukaa masaa yote zinasukwa tu.
Halafu mimi nina phobia na kubadilisha mitindo.
Kipindi nasoma chuo nilikuwa nasuka nywele za aina moja tu!
Sasa kuna watu wakawa wanauliza mbona nywele zako hazifumuki na hazichakai miaka yote,,kumbe mwenzao zikichoka naenda tena kusuka kama zile zile na fundi yule yule.
Kipindi nimeenda graduu yule fundi aliniwahi akasema leo hanisuki nywele ninazosukaga
Alikataa kata kata ,akasema yupo tayari hata kuninunulia weave jingine bure.






Ali kukomesha kabisa. KhaaaahHapana just allow me dearKwani utataka kujua nimeitumiaje???🙄🙄
Coz I just don't feel like it right now 😏
View attachment 2053802
Tupewe wapi ccVipi mmepewa??
Tuliawaambia endeleeni kumtazamia Bwana mawinguni![]()







Kama mimi ndio kabisa nimeshindikanika kwa utukutu na hakuna anayeweza kunitisha![]()





Ngoja aje kesho akulime quiz ndio utamuelewa![]()





Jan mchan nimepishan na lect af moyo ukaniwazia ni huyo, iv unajua nilitoka mbio? Tulikua wa3 tunapiga story yaan wenzangu wakawa wanacheka, 

wenzangu wananambiaje yaan huna hata aman ujanja wote huu, 

nkajisemea mwenyew ntakuja kufa kwa pressure ukute hata nayemkimbia Co yeye wala hata hanijui, yaan kuhisi kubaya sana. 







