Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Ingekuwa mimi ningempigia hata babu yangu awaonyeshe around 😁😁Tatizo ulituacha wenyeji daslam
Ingekuwa mimi ningempigia hata babu yangu awaonyeshe around 😁😁Tatizo ulituacha wenyeji daslam
[emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa mimi ningempigia hata babu yangu awaonyeshe around [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu suna mie lol.Ati??[emoji1787]
Hakuna kitu naogopa duniani kama nyoka aiseee
Hata Mungu mwenyewe aliweka uadui baina ya mwanamke na nyoka.
Nimetoka mbio kwa kwa majirani kuomba msaada[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23].
Hapa nilikuwa napika maharagwe nje,zoezi limebadilika..nitakaanga tu mayai ndani kwenye gesi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyoooohAkina mimi hao[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na watasepa kweli leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunafahamu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana mna nyoka na hatujui.
Embu tuone wako.
Wangoni bhana[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalau leo [emoji38][emoji38][emoji38]Akaunti yako imewatingisha wajukuu zangu mpaka wamenikana yaani. US $14,980 - milioni karibia 35 za Kibongo si mchezo. Tena si ajabu hii ni akaunti yako tu ya matumizi madogo madogo. Ukiwawekea na akaunti ya biashara yenye $15,000,000+ sasa sijui itakuwaje...
Wachukue tu hawa wajukuu bana. Cha muhimu tu uwatunze na kuwaangalia vizuri. Pesa mwanaharamu kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una 9t shift mlongo? Wangoni sahivi wanalala wee utakua una lako jambo.Wangoni bhana[emoji3]
Yaan wenzio wanalala,weye unaamka[emoji3]![]()
Mlongo,yaani sijafuatilia dagaa,nipo mbinga na shamra shamra za sikukuu[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una 9t shift mlongo? Wangoni sahivi wanalala wee utakua una lako jambo.
Iv dagaa nyasa wamepanda bei bado? Iv uko town au Mbinga?
Mhhhhhh!! Naijua hiyo?! Inaishia tarehe 27 Dec 2021Mafua yangu[emoji8]![]()
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yallah!Mhhhhhh!! Naijua hiyo?! Inaishia tarehe 27 Dec 2021
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
😁😁😁 Wale wenyewe bwana. Mie ntawasindikiza kupitia WatsApp statuses 😌Ni sababu nzuri kwa kweli. Ila sema sasa kama ni wazee-vijana wataona tu unazingua [emoji16]
Ila kwa Mchaga kutokwenda migombani umezingua aisee tena sana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahahah huko kwa shamra shamra mbna ndo penyewe,Mlongo,yaani sijafuatilia dagaa,nipo mbinga na shamra shamra za sikukuu[emoji3]
Sikukuu naenda peramiho nasikia kuna chimbo moja matata[emoji3]
Wewe,nasikia peramiho kuna chimbo kule[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahahah huko kwa shamra shamra mbna ndo penyewe,
Wee peruu kuna chimbo gan mbna silijui hili ni jipya au?
We sikukuu hii pananoga la charlz na mtini, acha ushamba bas nenda chanta burri bomba 2, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe hapa nasikilizia ratiba fulan iv ikikaa vyema, bas tar 24 jion ntakua Arusha, tar 27 ntateremka Dom, tar 29 ntaibukia Songea nakula good time had tar 2 jioni nageuza kurud Dar. Ko mwaka mpya tunaweza kuwa ote ukiwa na nafas.
Kubaliana na hali/matokeoBado sijaziona[emoji3]