cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Mapenzi yamewakuta wenyewe,
𝙎𝙖𝙢𝙖𝙝𝙖𝙣𝙞 𝙙𝙚𝙖𝙧
𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙣𝙞𝙩𝙖𝙠𝙤𝙨𝙚𝙖 𝙠𝙪𝙨𝙚𝙢𝙖
𝙈𝙖𝙖𝙣𝙖 𝙆𝙞𝙡𝙖 𝙣𝙞𝙠𝙞𝙛𝙞𝙠𝙞𝙧𝙞𝙖
𝙉𝙖𝙝𝙞𝙨𝙞 𝙢𝙤𝙮𝙤 𝙠𝙪𝙘𝙝𝙤𝙢𝙖
𝙈𝙬𝙚𝙣𝙯𝙞𝙤 𝙮𝙖𝙢𝙚𝙣𝙞𝙯𝙞𝙙𝙞𝙖
𝙃𝙖𝙙𝙞 𝙣𝙖𝙝𝙞𝙨𝙞 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙝𝙤𝙢𝙖
𝙋𝙡𝙚𝙖𝙨𝙚 𝙪𝙨𝙞𝙟𝙚 𝙥𝙪𝙪𝙯𝙞𝙖
𝙉𝙖𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙞𝙖 𝙣𝙞𝙣𝙖𝙘𝙝𝙤 𝙨𝙚𝙢𝙖
𝙃𝙖𝙠𝙞𝙠𝙖 𝙪𝙢𝙚𝙣𝙞𝙫𝙪𝙩𝙞𝙖
𝙉𝙖𝙨𝙝𝙞𝙣𝙙𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙟𝙞𝙯𝙪𝙞𝙖
𝙆𝙞𝙡𝙖 𝙣𝙞𝙠𝙞𝙠𝙪𝙖𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙖
𝙈𝙤𝙮𝙤 𝙬𝙖𝙣𝙜𝙪 𝙬𝙖𝙣𝙞𝙖𝙢𝙗𝙞𝙖
𝙒𝙚𝙬𝙚 𝙣𝙙𝙤 𝙘𝙝𝙖𝙜𝙪𝙤
𝙒𝙚𝙬𝙚 𝙣𝙙𝙤 𝙩𝙪𝙡𝙞𝙯𝙤
𝙒𝙚𝙬𝙚 𝙣𝙙𝙤 𝙪𝙛𝙪𝙩𝙞𝙤
𝙉𝙟𝙤𝙤 𝙣𝙞𝙛𝙪𝙩𝙚 𝙢𝙖𝙬𝙖𝙯𝙤
𝙉𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙢𝙧𝙚𝙢𝙗𝙤
𝙉𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙗𝙞𝙗𝙞𝙚
𝙉𝙞𝙩𝙖𝙩𝙪𝙡𝙞𝙚 𝙝𝙞𝙡𝙞 𝙅𝙖𝙢𝙗𝙤
𝙈𝙤𝙮𝙤 𝙬𝙖𝙣𝙜𝙪 𝙪𝙩𝙪𝙡𝙞𝙚
𝙋𝙡𝙚𝙖𝙨𝙚 𝙣𝙞𝙥𝙚 𝙣𝙖𝙛𝙖𝙨𝙞
𝙉𝙞𝙬𝙚 𝙣𝙖𝙬𝙚 𝙢𝙖𝙞𝙨𝙝𝙖𝙣𝙞
𝙋𝙡𝙚𝙖𝙨𝙚 𝙢𝙮 𝙨𝙚𝙢𝙖 𝘽𝙖𝙨𝙞
𝙉𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙪𝙩𝙖𝙣𝙞
𝙉𝙖𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙟𝙞𝙗𝙪 𝙥𝙡𝙚𝙖𝙨𝙚....
![]()
Angel NylonView attachment 2053172





Napenda haswa iwe ile lainiii na viungo viwe vimekaa mahali pakeYes Mbuzi, vipi unapenda?
Karibu Moro
Twende kilioni,Wed 22 decView attachment 2053292







Napenda haswa iwe ile lainiii na viungo viwe vimekaa mahali pake
Kachori au? Nijuze mwenyeji.
On the way to Moro kula mbuziUko wapi nikutumie package ?

Nilikuwa na ratiba ya kuchinja Mbuzi mmoja kila baada ya siku 2 hadi Christmas, ukija kesho kutwa tutasaidiana kuchinja kabisa 😋🤸🤸Napenda haswa iwe ile lainiii na viungo viwe vimekaa mahali pake
Ngoja nitafute nauli nije kesho chapNilikuwa na ratiba ya kuchinja Mbuzi mmoja kila baada ya siku 2 hadi Christmas, ukija kesho kutwa tutasaidiana kuchinja kabisa![]()

Karibu sana best 🤸Ngoja nitafute nauli nije kesho chap![]()
On the way to Moro kula mbuzi![]()
Huu msuko saafi sana.Wed 22 decView attachment 2053292
Wewe umenishinda tabia
Sipati picha ingekuwa unaelezea kwa vitendo sijui ingekuwaje![]()





kwa kweli mie cna akili wallah, yaan nikiona mwanaume yeyote mnene nawaza mchumba/mke wake ana tabu vipi ktk mtanange ule wa kupelekana kanaani kwa muda 



.










View attachment 2053424
Huo urefu wake mmh anatandikaje kitanda?
Mtume bwana, nasubiriNikajua upo Town nimtume boda
Nimependa ukuta wa room yako, uko cool, hiyo wakat wa majambozi hakna haja ya kufumba macho, macho unayaelekeza hapo ukutan huku una feel uko Uruguay unatalii nchi ya kina SuarezView attachment 2053415
In door till Xmas




