Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Baada ya kuniacha solemba 🙄🙄🙄😏Turudi Mbeya
Baada ya kuniacha solemba 🙄🙄🙄😏Turudi Mbeya
Zanzibar nshapazoea...natamani sehemu mpya sema ndo hivyo mfuko haunielewi 🥴🥴Muda wa likizo huu inabidi uende hata zanzibar kwa mapumziko kwenye full moon party
Sasahivi tutakuwa bega kwa begaBaada ya kuniacha solemba 🙄🙄🙄😏
First impression Annie!! 😧 Siwezi kuwaamini tena 😵Sasahivi tutakuwa bega kwa bega
Njoo ule mwaya 🙂Naomba nyama [emoji3525]
Tatizo ulituacha wenyeji daslamFirst impression Annie!! 😧 Siwezi kuwaamini tena 😵
Njoo ule mwaya [emoji846]
Kwema kabisa!
Mjukuu yaani umenikana?Oooh jamani[emoji39],achana na yule mzee bana,sasa ushindwe wewe[emoji2440]
Akaunti yako imewatingisha wajukuu zangu mpaka wamenikana yaani. US $14,980 - milioni karibia 35 za Kibongo si mchezo. Tena si ajabu hii ni akaunti yako tu ya matumizi madogo madogo. Ukiwawekea na akaunti ya biashara yenye $15,000,000+ sasa sijui itakuwaje...View attachment 2052299
Sasa wewe rukia16 na mawardat endeleeni kumsikiliza babu yenu mzee Shimba Ya Buyenze
Ila Saint Anne wewe namalizana na kaka yako Behaviourist muda sio mrefu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Ni sababu nzuri kwa kweli. Ila sema sasa kama ni wazee-vijana wataona tu unazingua [emoji16]Uncle wangu ananiuliza nna excuse gani ya kutotaka kwenda home for Christmas....sijui nimtumie hii [emoji16][emoji16]
Naongezea tu I really care about you guys! [emoji849]
Vizuri sana kama ni kwema BossKwema tajiri mambo vipi…
Mmmmmmh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]babu,wacha nipo kwa malengo eeeh si unajua??
Kuwa mpole babu yangu[emoji41]
Vizuri sana kama ni kwema kabisaKwema kabisa!
Naelewa mjukuu. Naelewa [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]babu,wacha nipo kwa malengo eeeh si unajua??
Kuwa mpole babu yangu[emoji41]
Ndiyo