Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mama wa malezi.... unenikumbusha uscf mlimani miaka hiyo.

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huyu HS namfananisha walimu wa kike wawili waliokuwa km walezi kwangu, kwa level zote o na a level.

Ila shule kuwepo na mwalimu wa kukusimamia mmmh n shidaa mno lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa cc ndo umejibanza ndani ivo? C ungeenda kusaidia kdg lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ati??[emoji1787]
Hakuna kitu naogopa duniani kama nyoka aiseee
Hata Mungu mwenyewe aliweka uadui baina ya mwanamke na nyoka.

Nimetoka mbio kwa kwa majirani kuomba msaada[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23].

Hapa nilikuwa napika maharagwe nje,zoezi limebadilika..nitakaanga tu mayai ndani kwenye gesi.
 
Back
Top Bottom