Mbinu yao ya kuruka ni kweli kama walivyoeleza lakini sijui kwanini nimejikuta nacheka tu ,kila mtu sasa anatoa hiyo mbinu na wakati jamaa ashadondoka.
Njia nzuri ni kusubiri tu gari isimame,mambo ya kuruka haya watu watakuja kutegua nyoga.
Ila yote kwa yote jamaa aliyetoa ule uzi ni bonge la comedian aloo