Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Afu unajua ndo huwa nashangaa hapo, maan nna watu wanasoma pale degree, yaan wanavo supp na ku carry, nkawa nawauliua vipi wanasema wee pale pagumu mno, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa huku kwenye Doctorates wanagawa tyuuh au kisa viongozi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi kumaliza degree ni bahati nasibu.


Wanasiasa ndo wameanza kuharibu mambo[emoji23][emoji23][emoji23]huko kwenye PhD
 
7721AE25-0705-410C-A3C8-A30DB96A00D7.jpeg
 
Back
Top Bottom