Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutafute hela na sisi tukachukue aisee.
Akina Biteko sasahivi nimadaktari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Wanajamiiforum walivyowakalia kooni sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hao akina Biteko watakuwa wanatamani hata wakazirudishe hizo PhD walizopewa.
Watanzania watu wabaya sana wakianza kusimanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Ni ujinga sana kama kweli wamewapa watu PhD za bure
Bora Hata huko, UDSM jaman lects wana roho mbaya sana, wananyima mno marks, yaan ili sijui iweje, kuna lect kaniudh UE somo fulan iv kaninyima marks, kaishia kunipa B- akat nlijua ntatoka na A, yaan hata B+ kunipa kaona jau mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndo maan hata hao viongozi wanaenda huko UDOM kwenye unafuu.
 
Hata ukienda kule undergraduate ndo hivyohivyo hakuna marks za bure[emoji23]

Labda huko kwenye PhD wanazogawa bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata ukienda kule undergraduate ndo hivyohivyo hakuna marks za bure[emoji23]

Labda huko kwenye PhD
Afu unajua ndo huwa nashangaa hapo, maan nna watu wanasoma pale degree, yaan wanavo supp na ku carry, nkawa nawauliua vipi wanasema wee pale pagumu mno, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa huku kwenye Doctorates wanagawa tyuuh au kisa viongozi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nimjaze upepo j3 aje na quiz[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa ntakua nafaulu tyuuh, unamuambia akupe maswali afu unanipa mie nasolve kabisa.

Usinikumbushe kuna lect m1 alinikimibiza mchaka mchaka toka city center had class, kuwahi quiz lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom