Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Usiwaze mkuu nilielewa sema si unajua tena wabongo akili zetu hizi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mungu wangu ni typing error[emoji23] ni kiporo
Usiwaze mkuu nilielewa sema si unajua tena wabongo akili zetu hizi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mungu wangu ni typing error[emoji23] ni kiporo
Saaa kumi kamili ndio zinaanza, I wish ningekua nina kampaniZinaanza saa ngapi [emoji853][emoji853]
Daah wewe unaingia kuangalia ipi [emoji846][emoji846]Saaa kumi kamili ndio zinaanza, I wish ningekua nina kampani
Always marvel fan.. spiderman lazima ihusikeDaah wewe unaingia kuangalia ipi [emoji846][emoji846]
Nikajua unaenda kumcheki mjuba James BondAlways marvel fan.. spiderman lazima ihusike
Okay, ila akiongea Mnyaki wa Kyela na wa Rungwe anaelewa?Wanyakyusa tupo wa Kyela na wa Rungwe mkuu. Mimi ni wa Kyela but nimeishi Mbeya mjini for more than three years na nimetembea wilaya karibu zote za mkoa wa Mbeya.
Mkwepu amezidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Nakubali watu tumekutana na dharau nyingi sana maishani mwetu ila hizi dharau anazotuonesha mkwepu jr zimefurutu ada [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wacha woga 😜😜😜🏃🏃Heri nikufe masikini [emoji1][emoji1]
Nope hiyo nishaipata Torrent...Nikajua unaenda kumcheki mjuba James Bond
Id go for Spider Man either
Basi tushakuja City PubMnatokea wapi, ili niwa-direct kutokea hapo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie nilicheka tu hii caption [emoji1][emoji1]
Eti ongea na watu vizuri huko mtaani [emoji1787][emoji1787]View attachment 2048719
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Happy sabbath[emoji4]View attachment 2048767
NakujaSaaa kumi kamili ndio zinaanza, I wish ningekua nina kampani
Kinyakyusa ni kimoja mkuu wanyakyusa wote tunaelewana. Na lugha yetu inaingiliana baadhi ya maneno na Kindali.Okay, ila akiongea Mnyaki wa Kyela na wa Rungwe anaelewa?
Nitaomba unipe training ya Lugha yenu, nimejikuta naipenda hasa lafudhi. Ughonile, Ndagha Kyala [emoji134][emoji85]
We kwenye sector hiyo nakuaminia movie hata iwe na siku moja cinemas we tayari ushaipata [emoji109][emoji109]Nope hiyo nishaipata Torrent...
Naenda kumcheka my favorite person charlie coxView attachment 2048797
Yaani siyo kuingiliana tu!,inafanana maneno yote kasoro pronounciation tu.Kinyakyusa ni kimoja mkuu wanyakyusa wote tunaelewana. Na lugha yetu inaingiliana baadhi ya maneno na Kindali.
Sisi siyo kama wachaga. Kwamba eti mmarangu haelewani lugha na mmachame no sisi wote tunaelewana 100 percent.
Waambie Saint Anne na geraldincredible wakufundishe. Mimi bado sijakimaster vizuri kuna baadhi ya misamiati siijui.