Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Nasubiri ugeukeMtakatifuuuuuu
Nasubiri ugeukeMtakatifuuuuuu
Saint Anne alifanya hadi nikanunua daftari ili aanze kunifundisha hiko Kinyaki lakini over suddenly akasema eti Ada ya Udahili imepanda 🙆🙆Kinyakyusa ni kimoja mkuu wanyakyusa wote tunaelewana. Na lugha yetu inaingiliana baadhi ya maneno na Kindali.
Sisi siyo kama wachaga. Kwamba eti mmarangu haelewani lugha na mmachame no sisi wote tunaelewana 100 percent.
Waambie Saint Anne na geraldincredible wakufundishe. Mimi bado sijakimaster vizuri kuna baadhi ya misamiati siijui.
Ongezeni basi hata nyingine ya tatu 😁😁Tutangazie tu mama maana wanaudharau sana mkoa wetu eti kisa ghorofa lenye elevators liko moja tu wakati sasa hivi yako mawili. Mbeya yenyewe tu ilivyo geographically ni elevated region hivyo haupendezi kuwa na majengo marefu sana.
Naona leo umeamua kunitesaNasubiri ugeuke

Afu huyu pia aliwahi kuwepo mafinga JKT, maan cc angu alikua anatupa habari zake.Yes. Mwana mbezi beach secondary alumn




Zipo tatu;Ongezeni basi hata nyingine ya tatu
On a serious note though....ni pazuri kuliko nilivyotarajia!
Malizia sura mkuu usiwe kama mtakatifu

Hii nimeikataa leta ya nyingine




yaan basi memes zinavyozagaa huko mitandaon had Co poaa, tatzo hizo gwanda zenu mkivaa mnatisha bhana, 




Nasubiri ugeuke sasa ili niweke ingineHii nimeikataa leta ya nyingine







yaan kinaumana hapa so mda.
. Mbna yuko fresh kabisa.InakujaNasubiri ugeuke sasa ili niweke ingine
Fries????



sio hivo bhan, fries - friend, nlifupisha, mbna kwangu haijaja hiyo picha, au keyboard yangu n ya mchongo,