Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyo ukorofi wenyewe huo[emoji3],nawaoneaga huruma raia wanapigishwa kichura hadi siyo poa[emoji35]
 
Niliachwa sababu sijatulia eti michepuko mingi[emoji3]
Ngoja nimkumbushe kuwa hata Mfalme Suleimani alikuwa na wake 300 na Michepuko 700 lakini wake zake hawakumwacha hata baada ya kujua, Kwanini Yeye ameshindwa kujifunza?

Fanya leo ukiweza mmbembeleze kwa kumuimbia mashairi ya Wimbo Ulio Bora, naamini atakurudia tu 😄
 
Usimpoteze huyo kijana, anakabiliwa na kazi ya kufyeka pori kwa meno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mshauri apige nguna na sato aache hizo mboga ( chips)[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mirinda nyeusi ya baridiiiii na chachandu kidogo[emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…