Selfika na JF: Snap it. Show it

Ilikuwaje tena?? Au ulimkanyaga mkia
Dogo aliokota paka hukoo akaja nae nyumbani.
Usiku nimejilalia sina habari, nastuka Kuna kitu kilainiii pembeni yangu ndani ya blanketi halafu kinakoroma. Hapo nimelala mwenyewe, hali iliyonipata ningekuwa na pressure ningekufa. Hadi nakuja kugundua ni paka nilikuwa nasweat kwa hofu.
 
Heheheh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…