Hapana bana sio Corona, ni homa tu kutokana na hizi mvua zilizonyesha hapa kati na jua lilikuwa kali sana.Sasa ishakupata na bado unang'ang'ania barakoa[emoji16]
Ipumzishe barakoa ,kaa karantini wiki nzima.
Hili eneo km nalifananisha iv. [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee! Hivi ule mpango wetu vipi? Najua ushasahau!!
Nakuzingua na nini tena Shem lake?Mmmh! Unanizingua tu hapa![emoji125][emoji125][emoji23]
We umemakinikia zaidi kuimarisha ngozi, nywele na kucha. Kuimarisha kinga hasa kipindi hiki cha Korona kamata hii hapa. Mbali na Vitamic C unahitaji pia Vitamin D, Zinc na Elderberry kwa kinga imara. Hii nimeshauriwa na Dr. wangu kuitumia na yeye anatumia hii hii.View attachment 2045759
Ngoja tuongeze kinga za mwili
Ndio imekuja kivingine[emoji23]Hapana bana sio Corona, ni homa tu kutokana na hizi mvua zilizonyesha hapa kati na jua lilikuwa kali sana.
Mashallah! Jicho jicho!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Aaii..nimesahau ndugu 🤦Aisee! Hivi ule mpango wetu vipi? Najua ushasahau!!
Peanut butter [emoji7][emoji7][emoji7]
😂😂😂Acha bwana..😂😂😂😂Mashallah! Jicho jicho!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Tuwasiliane nikikuona nitakukumbusha [emoji4][emoji4][emoji4]Aaii..nimesahau ndugu [emoji1751]
Kwa jicho hilo hata nikihonga nyumba ya urithi hawatonishangaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377][emoji23][emoji23][emoji23]Acha bwana..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaona namba[emoji39][emoji39]
Chochea Range lako umfuate huko Kusini. Ulitegemea kweli nimuache wakati usharudi? Hata kule ulikokuwa unaimbisha kwa Kiarabu bado nina wasiwasi nako. Sijui huko nitafanyeje [emoji16]We mzee noma sana, uliposikia nimeingia Dar umemuondoa mjuu wako haraka sana! Poa mruhusu aje kuniuguza basi wiki tu inatosha!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Cc: mawardat
Twalamusha mukamu.Walamusha??
Ngukubhona mukamu[emoji847]
Hahahhah mdogo wangu leo nimethubutu[emoji7]
Hatimaye umeselfika
Happy birthday best[emoji512][emoji7][emoji3590]17/12 .....
DEAR GOD
Today I ask for nothing
I just want to Thank you for walking with me this far.
THANK YOU
For hearing my prayers,
For listening to me, for carrying me,
For protecting me, for healing me,
For blessing me, for answering me,
With what I need, When I need.
Thank you for loving me.
UNCONDITIONALLY
Let your peace, which passes all understanding,
Continue to guard my heart, the hearts of all those I love.
My mind & Soul.
Ameeeeeeeen!!!
Happy birthday to me.
[emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512]View attachment 2047471
nimehamia kwa ota lidazLol nilikua offline rafiki! Nipe location saivi pande gani??
..We umemakinikia zaidi kuimarisha ngozi, nywele na kucha. Kuimarisha kinga hasa kipindi hiki cha Korona kamata hii hapa. Mbali na Vitamic C unahitaji pia Vitamin D, Zinc na Elderberry kwa kinga imara. Hii nimeshauriwa na Dr. wangu kuitumia na yeye anatumia hii hii.
View attachment 2047480