Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi Dar Lux na Rungwe yapo jamani? Enzi zile Rungwe bado inatamba, ukoo mzima wanyaki tunapanda Rungwe, ole wako ukapande bus lingine. Kuna siku karibu na Kitonga ile; sijui bus lilitaka liwake moto. Maana ilianza harufu kali ndani kama ya chemicals; ukaja moshi mzito ndani; daah kumbe nipo mwepesi vile kwenye kuruka dirishani hehehe; maisha matamu jamani mweeh.
Dar lux sijaliona siku hizi.
Rungwe bado ipo ila imejichokea mno japo wana customer care nzuri mno.
 
hahaha we unanizuga nimeona juu hapo unayajua vzr tu.unakaa na makondakta kupiga story dah. Sisi wa kasumbalesa.mokambo tutadandia malori
Sure yaani mie imefikia kipindi nikipanda basi lenye makonda wachache na hawana story huwa naona safari mbaya. Mfano Shabiby za Dom yaani jamaa wako serious kichizi hamna story wala nini halafu konda unakuta mmoja au wawili tu.
 
Back
Top Bottom