Kama bado hujapata....Wakuu kwa anayetumia Airtel naomba aniambie au akiweza anioneshe vifurushi vyao, hasa vya internet vikoje nataka niujaribu na huu mtandao.
Bongo hapa mitandao ambayo sijatumia ni Airtel na Zantel tu, Zantel sijawahi kuwaza kutumia maana nasikia iko vizuri zaidi kwa upande wa Zanzibar kuliko Bara.
Airtel ndiyo nimekuwa nikijishauri nitumie au nisitumie, ila kwa sasa nimefikia muafaka kuwa niangalie kwanza muelekeo wa vifurushi vyao ikishindikana basi narudi TTCL.
Kwa sasa natumia Vodacom na Halotel ila nataka niachane na Halotel maana siwaelewi na Tigo ndiyo kabisa sitaki hata kuwasikia, japo Vodacom wanazingua ila sitakiwi kuuacha.![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muulize Behaviourist mzee wa chura atakupa siri ya kambi[emoji28][emoji28]
Haya kaka tigo yangu nakudaiNimeihifadhi kwa matumizi ya baadaye
Sasa nidai vocha yako tuu
Usiwe na shaka mkuu hiyo umepata nikumbushe kesho mapemaaaa
Wee!hebu hukoo![emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]sura za baba!wale tunaokimbiagwa jf ndo sisi sasa!ndonini kufuta haraka hivo?? Nilisikia sifa zako sikumbuki ni wapi...fanya nkuirudia jamani!!
Mahonda na mjep ,nyie wajinga etii[emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]kama watoto!Ipi hiyo??? Anza na hiyo ya Rey nakurushia ya jana! Nielekeze ni ipi [emoji1787][emoji23][emoji23]
Uko serious?!![emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]reymage naombpo hio picha jamani!
Irudiweee irudiweeee kwa hisani ya mahondawMahonda na mjep ,nyie wajinga etii[emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]kama watoto!
Sent using Jamii Forums mobile app
He he he....Wacha Bwana..
Inabidi ifanyike namna wakati mwingine uwepo aisee...Wazee wangu wapelekewe zile ng'ombe za Usukumani jamani..
Ikishindikana sana muagize ELY asimamie hilo zoezi[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Sitanii ! Nina hamu ya kukuona ex Wii akee!!
Irudiweeee!!! Umetu time vizuri tumerudi tunakuta manyoya tu dahhh!!Mahonda na mjep ,nyie wajinga etii[emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]kama watoto!
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣😂😂 Utakua so biutifooo jamani! Anyway siku nyingine ntakutegea Sitoki hapa 🙇Wee!hebu hukoo![emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]sura za baba!wale tunaokimbiagwa jf ndo sisi sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha...Fanya namna aiseeELY simwamini aisee [emoji16][emoji16].
Afadhali tu nije kusimamia hilo zoezi mwenyewe aisee. Nina ng'ombe 81 hata mchukue 50 hivi sawa tu kwa kweli ...
Dogo inaonekana ana ugomvi na suruali na anapenda sana pensi kama mama yake mdogo hapa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lil man handling his business....
View attachment 2046545
Kwa kawaida mnachagua wenyewe ng'ombe mnaowataka - madume, ndama, majike yenye mimba, yanayonyenyesha n.k.Ha ha ha...Fanya namna aisee
Tupate na Ndama kama wapo[emoji23]
ELY hafai kumbe[emoji23]
Wewe T 1990 ELY hebu kuja kipande hii
Sent using Jamii Forums mobile app
KigandaLol hapanaaa!!!