Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,323
Ameweka...Wajanja wakaziwahi fasta...Mjomba weka voda basi asee [emoji1][emoji1]
Naambiwa Saint Anne ndiyo kiongozi[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameweka...Wajanja wakaziwahi fasta...Mjomba weka voda basi asee [emoji1][emoji1]
Haha ile siku ya ama.... [emoji16][emoji16]Ile Dogo!!! Umenifanya nikumbuke ile siku nacheka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walevi kwa visingizio dah!Aiseee nina kiu daaahView attachment 2046305
Lugha gani hii? Kisambaa au Kipare?Telwali tabu bambi ndi wowu emirembe gyona era nawe wange mukwano!!
Dogo anazingua eti [emoji1][emoji1]Ameweka...Wajanja wakaziwahi fasta...
Naambiwa Saint Anne ndiyo kiongozi[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 None of the above!!!Lugha gani hii? Kisambaa au Kipare?
Wakora mayooo🤣🤣🤣🤣🤣 None of the above!!!
[emoji57][emoji57][emoji57]Umeanza lini hiyo mizinguo? Watu tumeweka kambi hapa?Voda nimekosa mjomba na bahati mbaya nishafika kiotani [emoji1]
....nyo nyo nyo nyo!!!!!
Nisamehe tu mdogo wangu ila yako ipo ni suala la muda tu usiwazeee[emoji57][emoji57][emoji57]Umeanza lini hiyo mizinguo? Watu tumeweka kambi hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisoma Ihungo na Kihaya kidogo nilikifahamu japo nilishasahau kila kitu. Sidhani kama wanachoongea ni Kihaya...Wakora mayooo
Wahaya hawa
[emoji7]
Ni fedheha sana mtu mzito kama huyo dada kugombania vocha na mimi jobless[emoji38]Dogo anazingua eti [emoji1][emoji1]
Tuendelee kunywa maji na fresh juice hahahaa!
Nimechoka kutumia hii I'd[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]unalifind ban eeehh
Where to tenaa??