Selfika na JF: Snap it. Show it

wee mzee wa tiaraaeeeii acha utan, nenda tena kaangalie bas,
 
 
Mimi namfanyia mtu vizuri ,,tena asipokuwepo wa kufanya ndo kabisa..
Akiwepo wa kufanya huwa natega.

Kikubwa nisipelekeshwe tu.
Yeah hata mimi huwa sipendi kupelekeshwa, kazi za ndani ambazo angalau napenda kufanya ni kufua na kusafisha nyumba. Kwa sababu sipendi kuvaa nguo chafu wala sipendi kukaa kwenye mazingira machafu, ila kupika na kuosha vyombo daaaah hapana kwa kweli nisiwe muongo hizo huwa nazifanya basi tu.
 
Kwa kweli huo mstari ingekuwa tunaweza kuubadili kama Katiba, Mimi ningeitisha maandamano ya kuomba tuubadili tu. Manake haiwezekani ninyimwe kuingia Mbinguni kwa kunywa mchuzi wakati Nyama sijala😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…