Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Jamani


Jamani


Hadi na wewe umepitwa mama amchungaji? Basi bahati si yako leoSio kwa kupitwa huku leo
Basi utapata thawabu ya kugawa inatosha hiyoUzuri mimi siyo mchoyo.
Nishazigawa.
Kuna mtu kapata halotel zote.
🤣🤣🤣🤣🤣 Hapana mamy!
Nibariki moja mpendwa 🤪😍Itakuwa zishawahiwa mkuu![]()
Pole Nkamu, usibanfuke mzigo mwingine unashuka soonItakuwa zishawahiwa mkuu![]()
Na picha🤣🤣🤣🤣🤣 Hapana mamy!
Haha.....kwa kweli nimeona nikushitaki kwenye umma wa jamiiforum maana huwa tunakuomba uselfike hata viungo vyako ila mgumu kweli kweliUmeamua kunishtaki leo eeh?![]()
Na uzee huu nguvu ya kusefika naitoa wapi Mama🥰Wewe hujawahi nibariki kabisa dada![]()
Mimi nitashukuru zaidi ukiniwekea za voda mkuu maana hao vifurushi vyao ndiyo vinanipa stressPole Nkamu, usibanfuke mzigo mwingine unashuka soon




Na ndoyo sababu nazileta hapa ili usisahau kabisa kama utabahatika maana si wewe tu watu wengi siku hizi tunajiunga vifurushi vya muda mrefu ama kununua vocha kwa kutumia miamala ya pesa lainiMimi nitashukuru zaidi ukiniwekea za voda mkuu maana hao vifurushi vyao ndiyo vinanipa stress
Ila huwezi amini nina zaidi ya mwaka sasa sijatumia vocha za karatasi hadi nishasahau kama zipo![]()
Tumewaachia nyie vijana wazee tunahifadhi picha za kumbukumbuEenh au siyo![]()
Sure mkuu maana unaweza ukajikuta umeishiwa kifurushi muda/sehemu ambao/ambapo huwezi kununua vocha na una hela kwenye simu hivyo inabidi umalize tu juu kwa juu. So hii imenifanya nishazoea hata ambapo nina uwezo wa kununua vocha za makaratasi sinunui tena bali najiungia kwenye simu.Na ndoyo sababu nazileta hapa ili usisahau kabisa kama utabahatika maana si wewe tu watu wengi siku hizi tunajiunga vifurushi vya muda mrefu ama kununua vocha kwa kutumia miamala ya pesa laini
Me anachukua experience nje anaileta na kuboresha ndani mwake. Ke anatoa experience ndani anaipeleka nje.
Sawa sawa kabisaTumewaachia nyie vijana wazee tunahifadhi picha za kumbukumbu

