kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
pole kwa yaliyokukumba mheshimiwawakuu kuweni makini picha unayotuma huku ukiwa umeiziba sura usije tena ukaipost kwenye hizi social media
mimi yamenikuta leo nimepost picha hapa nikiwa nimeiziba sura then nikaipost insta ikiwa full
akatokea jamaa wa kutokea sijui ana lengo gani akaitoa ile picha insta akaja kuiqoute chini ya hii niliyopost hapa.....
so guys kuweni makini sana



.....

