Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Mh mtakatifu hizi nyimbo unazijua?Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba
Oyaa kaa ukijua gharana
Tundaman[emoji444][emoji444]
Nipo tiptop naimba nyimbo zao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna pombe huko nimeandaliwa na ISO M.CodD inaitwa smith nini nini sijui ice off.
Kumbe imerudi sokoni na hausemi[emoji23]
Kwahiyo siyo smart?Smart wapi!
Au kwa vile anakunywa pombe za bei[emoji23]
Sana tu..Mh mtakatifu hizi nyimbo unazijua?
Expert unaniangusha.[emoji23][emoji23][emoji23]
Heee[emoji28]Sana tu..
Mbona kipindi nakushushia verse enzi hizo hukuuliza ?
Hujatulia Jack nakwambiaKwahiyo siyo smart?
Unajidai ndiyo unaniona leo eeh??Heee[emoji28]
[emoji39][emoji4][emoji11]Romance huku mambo mengine yanaendelea[emoji847]
Fanya kurudi kwa mtakatifu wakoUwa sina mambo mengi kabisa hadi leo nabaki najiuliza kwann Mtakatifu kaniacha[emoji21] labda sababu ni Jack Daniels
Mhuuuu 😁Haha kumbe na wewe uko kama mimi? Mimi nikiwa napiga picha eneo fulani lazima nipige angle zote kulia, kushoto, mbele na nyuma utafikiri navuka barabara!
😳🤣🤣🤣🤣🤣Hii miguu kama nimeshawahi kuiona sehemu, lakini siikumbuki ni wapi![emoji2365][emoji2365][emoji2365]
😜😜😜🤩🤩Huku Tanga tunasema Mashaallah! Mguu ndiwo...😋😋😋
Huyo ni chaguo lakoFanya kurudi kwa mtakatifu wako
Akaishije the rest days!?![emoji3]Kna mwanafunz alikula boom lote sku 1 club, itakua alinunua hizo Jack Daniels
Karibu Tanga..🤔😜😜😜🤩🤩
Acha kunitesa basi baba mtumishi[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nina kazi moja tu hapa....kuvizia mataga wakalale ndo niweke sasa [emoji1787][emoji1787]